Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Dec 22, 2021 #1 Mtanzania kuchezesha AFCON. Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January
Mtanzania kuchezesha AFCON. Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January
Dead Man JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 709 Reaction score 828 Dec 23, 2021 #2 Hongera kwake
mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,547 Reaction score 4,013 Dec 23, 2021 #3 Kasomi said: Mtanzania kuchezesha AFCON. Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January Click to expand... Mh! Kwakuwa hakuna simba na Yanga huko labda ataweza.
Kasomi said: Mtanzania kuchezesha AFCON. Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January Click to expand... Mh! Kwakuwa hakuna simba na Yanga huko labda ataweza.
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Dec 23, 2021 Thread starter #4 Dead Man said: Hongera kwake Click to expand... 🙏🙏
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Dec 23, 2021 Thread starter #5 mpiga vichwa said: Mh! Kwakuwa hakuna simba na Yanga huko labda ataweza. Click to expand... Kwa nini simba na yanga.
mpiga vichwa said: Mh! Kwakuwa hakuna simba na Yanga huko labda ataweza. Click to expand... Kwa nini simba na yanga.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,275 Reaction score 24,130 Dec 23, 2021 #6 Afcon ipi wakati inasemekana imeahirishwa.
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Dec 23, 2021 Thread starter #7 rodrick alexander said: Afcon ipi wakati inasemekana imeahirishwa. Click to expand... Waliconfirm kua itakuwepo mwakani.
rodrick alexander said: Afcon ipi wakati inasemekana imeahirishwa. Click to expand... Waliconfirm kua itakuwepo mwakani.
N ngalanga JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,780 Reaction score 1,889 Dec 23, 2021 #8 Habari kama hii unaweka na picha yake kiongozi/wengine hatumfahamu Frank komba,unakwama wapi? Kasomi said: Mtanzania kuchezesha AFCON. Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January Click to expand...
Habari kama hii unaweka na picha yake kiongozi/wengine hatumfahamu Frank komba,unakwama wapi? Kasomi said: Mtanzania kuchezesha AFCON. Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January Click to expand...
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,709 Dec 23, 2021 #9 afadhari, nilifiki labda miongoni mwa wale marefa wenye mahaba na mikia fc 'Sanya' au 'Kambuzi'
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Dec 23, 2021 Thread starter #10 ngalanga said: Habari kama hii unaweka na picha yake kiongozi/wengine hatumfahamu Frank komba,unakwama wapi? Click to expand... Ngoja niingie library kuzisaka picha zake.
ngalanga said: Habari kama hii unaweka na picha yake kiongozi/wengine hatumfahamu Frank komba,unakwama wapi? Click to expand... Ngoja niingie library kuzisaka picha zake.
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Dec 23, 2021 Thread starter #11 papason said: afadhari, nilifiki labda wale marefa wenye mahaba na mikia fc ni 'Sanya' au 'Kambuzi' Click to expand... 🤣🤣🤣 Kumbe vilabu vina makocha wao.
papason said: afadhari, nilifiki labda wale marefa wenye mahaba na mikia fc ni 'Sanya' au 'Kambuzi' Click to expand... 🤣🤣🤣 Kumbe vilabu vina makocha wao.