Mtanzania: CHADEMA yajichulia kifo

Hawa hawezi kuelewana sisi tunatia kuni kavu kwenye mafiga tu!!!,chochea!!!!!! chocheaaaaa!!!!! Wabaguzi hawezi kusimama na wakisimama lzm wataanguka,kudadadadeki!!!!CDM kushney!!!
 

sasa we kwa akil yako ukiitema chadema utachagua chama gani?? coz kama ccm ndo haya maisha tunayoish sasa umoza kichwa uckubali chama kisa unataka kukomoa chama kingne bado utaumia wewe kuwa na akil kijana
 
Wasomi gani hao mzushi Big**Man? Tupe hata jina la msomi mmoja mwenye mtazamo huo.

Hivi umesoma hiyo post mkuu ? wametajwa wazi mhadhiri wa chuo kikuu cha mzumbe prosper ngowi na mhadiri wa chuo kikuu huria profesa peter maina
 
Kwa kazi aliyo pania kuifanya Zito ni heri yaliyotokea.Akina Wasira walio mtuma walitamba kuwa lazima cdm ife.waliuamini sana mpango wa Zito.Ilikuwa lazima afukuzwe.Kubaki kwake ndiyo kingekufa haraka sana.Mwandishi wa makala hii naye ni either mshabiki wa Zito na CCm au ni mvivu wa kufikiri
 
Siasa za kukomoana, Chama kimashajifia tayari
 
Mtanzania wanashindwa kuzungumzia tambo wanavyoisha, kila siku CDM;

Wasomi wameshindwa kuikomboa nchi hii katika dimbwi la umaskini, kazi yao ni kutabiri kifo cha CDM kila wakati.

Dr Bana ni msomi? Dr Kitila ni Msomi ? Jk ni msomi ? Nani msomi Tz. Miaka hamsini, tunaishi kwa misaada.

Hathitaji wasomi wa kutabiri kifo cha CDM;

Dar es salaam kuna wasomi wengi lakini ni mkoa mchafu kuliko mikoa mingine, mnataka kumdanganya nani hapa.
 
Hivi umesoma hiyo post mkuu ? wametajwa wazi mhadhiri wa chuo kikuu cha mzumbe prosper ngowi na mhadiri wa chuo kikuu huria profesa peter maina

Hao si wasomi. Wameshindwa kutatua matatizo ya watanzania.

Kama wana akili sana watabiri basi umskini wa nchi hii utaisha lini ?
 
sasa we kwa akil yako ukiitema chadema utachagua chama gani?? coz kama ccm ndo haya maisha tunayoish sasa umoza kichwa uckubali chama kisa unataka kukomoa chama kingne bado utaumia wewe kuwa na akil kijana
Kura yangu ina wkt mgum sana 2014 s/mitaa na 2015 general election. NCCR itachukua kura yangu labda, ngoja niendelee kufanya tathmin
 
Haya basis CDM itashinda ushindi was tsunami
 

mkuu kweli umenena, wasomi badala ya kufanya utafiti, wamebaki kufanya utabiri!
 
Zitto aliapa kuilinda katiba ya CHADEMA na wala hakuapa kuivunja katiba ya CHADEMA kama wasakatonge wa CCM wanavyotaka kuuaminisha umma.CHADEMA ndiyo iliyompa Zitto umaarufu na wala si Zitto aliyeipa umaarufu CHADEMA,na ieleweke kwamba Ztto amevaa suti ya CHADEMA ndiyo maana najiona kama yeye ni maarufu kuzidi chama,lakini siku akinyang'anywa suti ya chama hawezi kuwa maarufu.Na hata uamuzi wa mahakama unashangaza sana maana unkizuiaje chama kufanya maamuzi kwa mujibu wa katiba,sheria na kanuni kiliozojiwekea na ambazo Zitto kwa nafasi yake ya uongozi aliyokuwa nayo anafahamu fika?.Zitto kakosea ni lazima hakubali ukweli kwamba kakosea na anastahili adhabu waliyopewa wenzake.Ni mara nyingi amekuwa akijinadi klwamba ana wafuasi wengi ndani ya chama,sasa anang'ang'ania nini kwenye chama kilichomkataa?kwanini asiondoke na wafuasi wake na kuanzisha chama kingine ambacho kitabariki fedha chafu kotoka CCM.
 
Mapadri,Maaskofu na Mashehe wanasema Chama kinakufa, bado mnabisha

Wasomi, Maprofesa Wanasema Chama kinakufa, Bado mnabisha.

Wassira alikwisha waambia mkabeza, mkakebehi sasa kiko wapi?

Ahsante Wassira ulimaliza kazi yako ya kuwaeleza na ukweli tumeuona.
 
kwa mtazamo wangu hili gazeti linakwenda antiklokuwaizi.
 
Tanzania hakuna idadi hiyo ya manispaa anazotaja. kwa kuwa kuna uongo wa idadi ya manispaa ambazo Chadema walichukua basi uongo huo wa idadi unaifanya habari nzima iwe ni ya uongo.
 

unawasema wanaopitiwa na lowasa kila siku anawahonga pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…