Mtanzania apeta marekani!

Mtanzania apeta marekani!

malkiory

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
270
Reaction score
25
Mtanzania mwenye makazi yake nchini Marekani ameanzisha kampuni ya simu itwaya umojaphone kwa ajili ya international calls, na bei ni poa kulinganisha na makampuni mengine kama vile VOIP na SKYPE. Unaweza kupiga simu kutoka kwenye landline yako, mobile na kwenye pc yako.

Kwa maelezo zaidi tembelea hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
 
Watanzania wanaweza tatizo hakuna mazingila mazuri nchini kwetu kuwawezesha, yaani kila kitu 10% ukitaka Kibali 10% ukitaka 10% kuunganishiwa umeme 10% ukitaka kufanya biashara na serikali 10% yaani kila kona ni 10%
 
Mtanzania mwenye makazi yake nchini Marekani ameanzisha kampuni ya simu itwaya umojaphone kwa ajili ya international calls, na bei ni poa kulinganisha na makampuni mengine kama vile VOIP na SKYPE. Unaweza kupiga simu kutoka kwenye landline yako, mobile na kwenye pc yako.

Kwa maelezo zaidi tembelea hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!

Ebu tuache marketing tuwe serious.

  • Amepeta kivipi au ndo anatangaza kupata soko.
  • iko poa kulinganisha skype na zingine kivipi.? annacharge kiasi gani ? Anatumia teknolojia gani itayomuwezesha yeye kuwa kuliko hao wengine?

Nimeeenda kwenye link naona maelezo ya masoko tu. Ungekuwa ujumbe mzuri ungesema tumuunge mkono mtanzania mwezetu kwa kununua kadi zake.

Any way tumpngeze lakini asije akawa na yeye ni mtu kati tu wa kula commision anachapisha kadi zenye jina la umoja wenye system ni wengine.
 
Website yao inasema tusilanguliwe kwa kutumia phone card nyingine lakini wao ndio walanguzi kwa sababu ya bei yao.

Welcome to UmojaPhone.com

Don't get ripped off by calling cards anymore, sema HAPANA sasa!. UmojaPhone.com lets you stay in touch ...at the lowest international calling rates and with the best quality. With our fantastically cheap rates to East Africa, you can make calls for as low as 8.9cents per minute to Kenya mobiles and 17.9cents per minute to Tanzania mobiles.

Sasa bei ya 17.9 cents per minute is not something to write home about, kwa sababu, bila kutangaza biashara ya mtu, zipo phone card zenye gharama ya chini zaidi kwa kupiga Tanzania.
 
Tumsapoti kwani ndio kwanza anaanza.

Tubadilike Watanzania na kuenzi bidhaa zetu kuliko za wenzetu, cha muhimu ni ubora na si gharama. Ubora finyu kwa gharama nafuu...ni zaidi ya kuibiwa.
 
Tumpe mawazo mbadala yatakayomwezesha kuimarisha biashara ili sote tufaidike.

out of topic, unamshauri nini katika kuboresha?
 
Website yao inasema tusilanguliwe kwa kutumia phone card nyingine lakini wao ndio walanguzi kwa sababu ya bei yao.

Welcome to UmojaPhone.com

Don't get ripped off by calling cards anymore, sema HAPANA sasa!. UmojaPhone.com lets you stay in touch ...at the lowest international calling rates and with the best quality. With our fantastically cheap rates to East Africa, you can make calls for as low as 8.9cents per minute to Kenya mobiles and 17.9cents per minute to Tanzania mobiles.

Kwa nini?
 
Huyu jamaa siyo mtanzania ni mkenya...
hata mimi nina wasiwasi huo Wakenya wanapenda kutumia mgongo wa watanzania kufanikisha mambo yao,nasikia kaharufu ka ukenya ukenya hivi kwente hiyo mishemishe
 
Ndugu Niponipo, kabla hujamhukumu mtu jiulize ni kwani gharama ya kupiga simu Tanzania kutoka nje ni ya juu. Si kwa huyu tu nakuomba utembelee VOIP na SKYPE pia. Hapo ndipo utapata jibu, nchi nyingi za Africa gharama ya kupiga simu ni poa kabisa lakini Tanzania ni balaa. Hii inatokana na sera na masharti ya sekta ya mawasiliano Tanzania. Tuilamu serikali yetu kwanza kabla ya kulalamikia wadau wanaowekeza kwenye mawasiliano.
 
Back
Top Bottom