R rubibiman Senior Member Joined Jul 5, 2015 Posts 111 Reaction score 44 Jul 8, 2017 #1 Kama heading ilivyo naomba kujua kuhusu hii allowance inayotelewa ya 950 TL Serikali ya Uturuki, je inatosha kwa matumizi kweli, kwa mtu mwenye majukumu mengine nyumbani?
Kama heading ilivyo naomba kujua kuhusu hii allowance inayotelewa ya 950 TL Serikali ya Uturuki, je inatosha kwa matumizi kweli, kwa mtu mwenye majukumu mengine nyumbani?
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,796 Reaction score 6,444 Jul 8, 2017 #2 Inatolewa monthly au ndio hiyo hiyo mwaka mzima?
R rubibiman Senior Member Joined Jul 5, 2015 Posts 111 Reaction score 44 Jul 8, 2017 Thread starter #3 Ze Heby said: Inatolewa monthly au ndio hiyo hiyo mwaka mzima? Click to expand... Monthly
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,796 Reaction score 6,444 Jul 9, 2017 #4 Mbona pesa nyingi hiyo..Actually sijui maisha ya Turkey, ila hapa bongo tunalipwa wastani wa 255,000 kwa mwezi ,linganisha sasa
Mbona pesa nyingi hiyo..Actually sijui maisha ya Turkey, ila hapa bongo tunalipwa wastani wa 255,000 kwa mwezi ,linganisha sasa
R rubibiman Senior Member Joined Jul 5, 2015 Posts 111 Reaction score 44 Jul 9, 2017 Thread starter #5 Ze Heby said: Mbona pesa nyingi hiyo..Actually sijui maisha ya Turkey, ila hapa bongo tunalipwa wastani wa 255,000 kwa mwezi ,linganisha sasa Click to expand... Duh! Hapo meals zote ni juu yako? Au kuna offer ya one meal? Sent from my SM-T561 using JamiiForums mobile app
Ze Heby said: Mbona pesa nyingi hiyo..Actually sijui maisha ya Turkey, ila hapa bongo tunalipwa wastani wa 255,000 kwa mwezi ,linganisha sasa Click to expand... Duh! Hapo meals zote ni juu yako? Au kuna offer ya one meal? Sent from my SM-T561 using JamiiForums mobile app