Mtanzania akamatwa muda huu Msumbiji, apigwa pingu

Tunkamanin

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
955
866
Ameshushwa kwenye Gari anatoka Mueda to Pemba ana hati ya kusafiri na kadi ya chanjo.

Nimeshindwa kupiga picha kuhofia usalama wangu.

Tanzania must act, inaonekana polisi hawataki kuona mtu ambaye ni mtanzania huku Msumbiji.

Nafuatilia kwa ukaribu matukio, nimepenya ndani. Nanyapia nyapia.
 
Safi!!!! Si walishasema watu wasio na Vibali waondoke Msumbiji? Tumezoea kuishi kiujanja Ujanja hata South Africa watanzania wengi ni Wakabaji. Tusivunje sheria za Nchi za watu eti kisa tuliwasaidia kupata Uhuru. ( huu ni Uharo ambao haujakauka)
 
Safi sana....tunatia haibu hata hapa Afrika? Tumuunge Makonda katika kupiga vita biashara ya madawa ya kulevya jamani.
 
Safi!!!! Si walishasema watu wasio na Vibali waondoke Msumbiji? Tumezoea kuishi kiujanja Ujanja hata South Africa watanzania wengi ni Wakabaji. Tusivunje sheria za Nchi za watu eti kisa tuliwasaidia kupata Uhuru. ( huu ni Uharo ambao haujakauka)
Acha kulopoka vitu usivyovijua,subiri taarifa kamili

Ova
 
chanzo ni nini?
mbona hawa jamaa rais wao yuko vizuri na alikuja akaongea kiswahili na kuweka makubaliano ya fursa za kibiashara.
Mwenye kujua sababu au chanzo cha hili songombingo atufahamishe
Mbona ni utaratibu wa kawaida hawataki Nchi yao kuwa kichaka cha wageni.
 
RAIA wanaongea sana kuhusu dhulma hizi na wanahofia tz kulipa kisasi.
Hali ya kibiashara imeshuka mabasi hayana abiria kwa kua hakuna movement. Hata kama walikua na nia nzuri lkn tunapoelekea inabidi tuwe wakali
 
Hakuna serikali mbovu kama yetu.

No matter what Nchi inatakiwa kumlinda mwananchi wake kwa gharama yeyote.

Hata kama amekosea basi aadhibiwe kwa mujibu sheria na sio kuonewa.

Tanzania viongozi amkani acheni ujinga wa kutoa matamko kila siku tena ya kututisha.
 
Safi!!!! Si walishasema watu wasio na Vibali waondoke Msumbiji? Tumezoea kuishi kiujanja Ujanja hata South Africa watanzania wengi ni Wakabaji. Tusivunje sheria za Nchi za watu eti kisa tuliwasaidia kupata Uhuru. ( huu ni Uharo ambao haujakauka)
Kwahiyo wanyongwe tu? Nyie ni watanzania kweli? Au wanyarwanda?
 
Huenda wenzetu watutaki baada ya kugundua kuwa watanzania wengi wamekuwa wauzaji wazuri wa madawa ya kulevya si tu nchi kwao bali hata nchi jirani,uwenda zoezi hewa lilofanywa na mkuu wa mkoa wa dar es salaam ndiyo lililowadhibitishia kuwa watz tumemobea katika hizo biashara chafu,hivyo basi ili kujinasua na hili tatizo ndyo wamechukua hizo hatua,hivyo sisi kama watanzania hatuna budi kukubaliana na hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom