MTANI JEMBE::Simba vs Yanga

MTANI JEMBE::Simba vs Yanga

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Kesho ndio kesho,mtani jembe inakamilika,Simba na Yanga ndani ya uwanja wa Taifa.

Niseme wazi,mashabiki wa Yanga wanajiaminisha kwa kiasi kikubwa kuwa kesho anaenda kuibuka na ushindi mkubwa dhidi ya mpinzani wao Simba.Mataumaini hayo yanjengeka kutokana na sababu kuu mbili au tatu:-

a)Gogoro lililopo ndani ya Simba,mashabiki na wanachama pamoja na baadhi ya viongozi hawamtaki Mwenyekiti wa klabu bwana Rage,hivyo wanaona gogoro hilo liawaathiri Simba na kuruhusu kichapo cha magoli mengi ikiwezekana kurudisha zile goli tano.

b)Ujio wa Emmanuel Okwi ndani ya klabu ya Yanga,Yanga wanaamini Okwi ndio atakuwa goal machine yao ndani ya klabu na hivyo kuwawezesha kuwapiga simba kirahisi kupitia kwa Okwi ambaye amewahi kuichezea simba.

c)Yanga wanajiamini kuwa wanakikosi bora zaidi ya Simba,hivyo wataingia uwanjani kwa kujiamini na huenda yakwakuta kama yale yaliyowakuta kwenye mechi ya mwisho pale uwanja wa taifa.

Ukiangalia hapo juu utagundua tu kuwa Yanga wanajipa asilimia kubwa ya kushinda mechi ya kesho.Lakini niseme mechi itakuwa ngumu sana na huenda mwisho wa siku Yanga wakatoka uwanjani vichwa chini huku wenzao wa simba wakipuliza mavuvuvzela....eeeeh...kidedeaaa

KAZI ILIYOMSHINDA KIIZA ATAIWEZA OKWI?

MFUPA ALIOUSHINDWA BARTHEZ ATAUWEZA KASEJA?
 
Simba kupakatwa KUKO PALE PALE,NAKUOMBA BAADA YA MECHI ULETE MLEJESHO Ya mnyama kapigwa Ngapi???Rage anaangaika na mwanya wa kupitisha RUSHWA PALE JANGWAN KWAN SIMBA HASIPOSHINDA BAS UENYEKITI WAKE NDIO MWISHO..
 
Tupo pamoja kesho tunarudisha zile 5 si umesikia kimenuka huko Msimbazi? Rage bungeni hayupo, nyumbani hayupo sijui kajichimbia Mogadishu

hahahaaa atakuwa Mogadishu tu.... eti kujiuzulu atajiuzulu ila na wengine lazima wajiuzulu sio
peke yake......
 
sioni ni wapi Yanga wanapata jeuri ya kusema watalipiza kisasi kwa kumpiga Simba 5-0, kama walishindwa kufanya hivyo kwenye Mechi ya mzunguko wa kwanza kwenye VPL(ligi kuu) watakuja kufanya hivyo Leo!!!!, nahisi leo mashabiki wa Yanga watazimia wengi hapo Taifa kutokana kuona mambo yanakua tofauti kinyume na matumaini waliokuwa wamejengewa na viongozi wasema ovyo wa Timu yao.
 
Kufikia saa kumi na mbili jioni, display kwenye TV itasomeka hivi, Full time: Simba 2-0 Yanga.
 
Nelson Mandela! Dunia nzima simanzi. Katutoka shujaa na Mzalendo wa Africa. Kitu Unachotakiwa kujua ni kwamba, Alifungwa jela miaka 27 lakini Alipofunguliwa Aliwasamehe wote Waliomfunga na akashindwa kumsamehe Mkewe aliyemsaliti. Unaweza kuona Jinsi gani Kugegedewa Kunavyouma..
 
leo kikosi kikiwa ivi hatoki mtu
1. Ivo mapunda
2. Chollo a.k.a kiboko ya okwi
3. Issa rashid a.k.a baba ubaya
4. Donald musoti a.k.a kitasa
5. Owino a.k.a computer
6. Jonas mkude a.k.a fenandinho
7. Uhuru seleman a.k.a 4G
8. Said ndemla a.k.a samsung adroid
9. Amis tambwe a.k.a mguu wa jini
10. Mombeki a.k.a kifaru
11. Singano a.k.a messi
yanga mjiandae kuja na tochi za kutafutia mpira
 
leo kikosi kikiwa ivi hatoki mtu
1. Ivo mapunda
2. Chollo a.k.a kiboko ya okwi
3. Issa rashid a.k.a baba ubaya
4. Donald musoti a.k.a kitasa
5. Owino a.k.a computer
6. Jonas mkude a.k.a fenandinho
7. Uhuru seleman a.k.a 4G
8. Said ndemla a.k.a samsung adroid
9. Amis tambwe a.k.a mguu wa jini
10. Mombeki a.k.a kifaru
11. Singano a.k.a messi
yanga mjiandae kuja na tochi za kutafutia mpira
Mkuu Cholo majeruhi, Haruna Shamte ataziba pengo lake.
 
leo kikosi kikiwa ivi hatoki mtu
1. Ivo mapunda
2. Chollo a.k.a kiboko ya okwi
3. Issa rashid a.k.a baba ubaya
4. Donald musoti a.k.a kitasa
5. Owino a.k.a computer
6. Jonas mkude a.k.a fenandinho
7. Uhuru seleman a.k.a 4G
8. Said ndemla a.k.a samsung adroid
9. Amis tambwe a.k.a mguu wa jini
10. Mombeki a.k.a kifaru
11. Singano a.k.a messi
yanga mjiandae kuja na tochi za kutafutia mpira

Naona umeamua kuwabatiza na aka..ikifika saa 12 karibu tujumuike SIMBA KAPAKATWA pub bill yote itakuwa juu yangu
 
1. deogratius munishi dida
2. mbuyu twite rage
3. luhende david evra
4. nadir haroub canavaro
5. kelvin yondani vidic
6. athuman iddi mzuzu/dilunga dk 68
7. mrisho khalfan ngassa player
8. haruna niyonzima kimanda
9. didier kavumbagu drogba
10. emanuel okwi jembe
11. khamis kiiza diego/tegete dk 80
dk 90:full time
yanga 6
goalscorer:didier dk 12,17.kiiza 34,niyonzima 52,okwi 67 penalt,kavumbagu 87.
simba 0:
 
Back
Top Bottom