mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,757 Reaction score 6,290 Jan 2, 2015 #1 Clouds imeishiwa....Waliwatumia vijana wauza unga kwa posho ya kuwapigia nyimbo zao redioni na sasa hawana jipya.
Clouds imeishiwa....Waliwatumia vijana wauza unga kwa posho ya kuwapigia nyimbo zao redioni na sasa hawana jipya.
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Jan 2, 2015 #2 watu8 said: Kabla ya kwenda RFA enzi hizo ashawahi kuwa mtangazaji hapo Clouds Click to expand... Alaaaaaaaaaaa kumbe daddy.... Heri ya mwaka mpya!
watu8 said: Kabla ya kwenda RFA enzi hizo ashawahi kuwa mtangazaji hapo Clouds Click to expand... Alaaaaaaaaaaa kumbe daddy.... Heri ya mwaka mpya!
U uaminifukazi JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 1,481 Reaction score 928 Jan 6, 2015 #3 mwita ke mwita said: Aende radio e Click to expand... Ile E fm nayo radio au kijiwe cha kahawa?