Mtangazaji Wa Channel Ten

Mtangazaji Wa Channel Ten

msimamia kucha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
769
Reaction score
642
Habari za jioni...je Salum Mwalimu amerejeshwa channel ten baada ya kufanya Kazi Vodacom kama afisa habari.?
 
Nitajitahidi niangalie. Habari zote nazipata humu jf
 
Habari za jioni...je Salum Mwalimu amerejeshwa channel ten baada ya kufanya Kazi Vodacom kama afisa habari.?

Ni Part Timer tu Mkuu huko ktk Hiyo Media Ukizingatia Ni Mtoto Wa Nyumbani ILA Ameajiriwa Rasmi Vodacom.
 
Nami nimwmwona nikaanza kujiuliza huyu nimemwona wapi nikamkumbuka. Ndio uzuri wa kuondoka vizuri unapofanya kazi!

Nimejifunza kitu,ya kwamba usiache kazi kwa kunyea kambi...
 
Inaonekana anaipenda kazi yake ya mwanzo kuliko ya sasa ndio maana anarudi mara moja moja channel ten.
 
Mkataba ukiisha Vodacom anaweza kurudi vodacom akatangaza bidhaa zao kwakuwa alipapenda?
 
Mfano mzuri ni Dr Slaa hawezi tena kuwa Padre..kashaoa tayari.
Muda si mrefu wataruhusiwa kuoa. Tena Slaa ni nafuu amekuwa wazi. Kule kuna wanaofanya kwa kificho na wengine wana mitara na watoto kibao mitaani. Bora ya Slaa aliyekuwa mkweli kwa kuacha upadri kuliko kuendelea kuwa padri kwa unafiki. Si umesikia mpaka papa kaomba radhi kutokana na makosa yaliyofanywa na mapadri kuwalawiti watoto kule Marekani?
 
Back
Top Bottom