wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 169
kuna mtangazaji mmoja wa azamtv anayetangaza mapinduzi cup anaitwa MUWA muwa wa kutafuna au ndio ukoo jana alinifurahisha sana alikuwa anaikandia yanga sijui ndio alitumwa au ndio kujipendekeza kwa bakaresa au sijui vipi.ndio kinachowaumiza watu hao maisha kwa kujipendekeza yanga mna tabu kwa azamtv ni bora mjitoe mapinduzi cup