HASSAN MAUNDE
Member
- Aug 18, 2019
- 17
- 5
Mimi no MTANGAZAJI wa poromoshen mbali mbali na ninasherehesha matamasha ya haina yoyote popote nafanya kazi nipigie. 0713319956 tupeane michongo
Hapana unajua sisi washerejeshaji na watangazaji au wasimuliaji ndi tunaeanzisha lugha hadhimu mtaaaniUngekuwa Mshehereshaji na mtangazaji mzuri ungetumia lugha iliyonyooka vizuri kwenye Tangazo lako
Ila kwa uandishi huu hakika wewe ni kanjanja tu.
Sina kiwango nategemea na ukubwa wa harusi yenyewe au kipato Cha maharusi usikaGharama yako kuwa mc wa harusi ni kiasi gani?
kiswahili shida, kiingereza shida. Mkuu kila kazi inahitaji umakini ili kuthaminika. Kila la kheri.Mimi no MTANGAZAJI wa poromoshen mbali mbali na ninasherehesha matamasha ya haina yoyote popote nafanya kazi nipigie. 0713319956 tupeane michongo
kuna kibint changu kinaolewa next weak katavi utaweza fika?Mimi no MTANGAZAJI wa poromoshen mbali mbali na ninasherehesha matamasha ya haina yoyote popote nafanya kazi nipigie. 0713319956 tupeane michongo
Ndio nawezakuna
kuna kibint changu kinaolewa next weak katavi utaweza fika?
Inshahallhkiswahili shida, kiingereza shida. Mkuu kila kazi inahitaji umakini ili kuthaminika. Kila la kheri.