GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,659
- 128,082
Daaah bye bye EFM.
Na edo Kumwembe atakuwa pembeni kwa uchambuzi wa soka, bila shaka huu ni usajili wa gharama zaidi toka kuanzishwa kwa Wasafi FM.
Hivi kuna mtu huwa anasikiliza hiyo wasafi?
Pesa mkuu, pesa tu...tunaagalia pesaHuyu Kitenge mbona anahamahama sana vituo vya kazi?. Mwisho wa siku atajikuta anarudi Redio one. Ila namtakia mema huko alipohamia. Hajaacha pengo kubwa kwa kuwa Efm kwa sasa inajimudu imeifunika sana Clouds na kiuchambuzi wapo vizuri.
Huyu Kitenge mbona anahamahama sana vituo vya kazi?. Mwisho wa siku atajikuta anarudi Redio one. Ila namtakia mema huko alipohamia. Hajaacha pengo kubwa kwa kuwa Efm kwa sasa inajimudu imeifunika sana Clouds na kiuchambuzi wapo vizuri.
Kwa upepo wa kisuli suliWasafi sasa inazidi kupaa..