Kwa mwenyeji wa Kilolo Iringa,naomba anisaidie aniembie eneo yaliyopohaya mashamba yajulikanayo kwa jina la Mtanga Farms,je yapo eneo gani hapo Kilolo,panaitwaje hapo yalipo na ni upande gani wa wilaya ya Kilolo je ni kusini au Kaskazini au Magaharibi kwa mfano kama unatoka Mikumi au unatoka iringa n.k
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani