Ukiwa na Akili timamu huwezi kuutumia huu / huo Mtandao badala yake utautumia Mtandao mzuri, wenye uhakika 100% na ambao Watu wengi wenye Akili Kubwa na Ushawishi Uliotukuka tunautumia huko Tanzania na hata hapa nchini Uganda nilipo wa Airtel.Kwa siku za hivi karibuni mtandao wa Vodacom umekuwa ukisumbua sana Hali ambayo imepelekea usumbufu mkubwa sana kwa watumiaji wa mtandao huu.
Kumekuwa na Hali ya kukatika kwa network au kushindwa kufanya miamala ya kifedha jambo ambalo limekuwa likijirudia rudia na kuzua sintofahamu Kubwa kwa watumiaji.
Ikumbukwe kuwa mtandao huu umekuwepo nchini kwa miongo miwili Sasa na hivyo kujizolea watumiaji lukuki...
Lakini changamoto hii iliyoanza kujitokeza itasababisha watumiaji kuanza kuwakimbia...
Nitoe Rai kwa Menejimenti ya Vodacom na timu Yao ya Ufundi wajitafakari sana.
Wachukue hatua muhimu ili kuondoa changamoto hii kwa mtandao huu pendwa ambao umetumika kwa muda mrefu nchini Sasa.
Huu ni uchokozi umefanya. LolUkiwa na Akili timamu huwezi kuutumia huu / huo Mtandao badala yake utautumia Mtandao mzuri, wenye uhakika 100% na ambao Watu wengi wenye Akili Kubwa na Ushawishi Uliotukuka tunautumia huko Tanzania na hata hapa nchini Uganda nilipo wa Airtel.
Nikiona Mtu yoyote hatumii Mtandao wa Airtel huwa namdharau mno na wala huwa sitaki pia kupoteza muda wangu Kuzungumza nae kwakuwa najua hata Vichwani mwao pia huwa ni Watupu.
Imeisha hiyo.....!!
Wakikusikia Wenye Pesa M~Koba Watakataa Hata Vodacom Watakuja Kukanusha Ingawa Usalama Unaendelea Kutia HofuHata hela huko m.koba haitoki, sijui tumeliwa?
We acha tuna pesa huko jana 13 November tumehamusha pesa imekataa kutoka.Wakikusikia Wenye Pesa M~Koba Watakataa Hata Vodacom Watakuja Kukanusha Ingawa Usalama Unaendelea Kutia Hofu
Bhalaa
umelitumia vibaya neno kuliwa futa andika neno jipya!.😅Hata hela huko m.koba haitoki, sijui tumeliwa?
Yaani..... Imekuwa Kero kwelikweli.... Nilipita mitaa ya mwenge jirani na uwanja wa KMC.... Nimekutana na watumiaji kadhaa wakilalama baada ya miamala Yao kukwama..... Hii inasikitisha sanaKesho Nahamisha vitu vyangu nusu na kuweka Tigo,Bora nipate hasara ya kutuma kuliko fedhea niliyopata leo.
Una hela hazitoki.
Bila kuwa na mtu alieniamini ningeaibika sana.