Mtandao wa Vodacom leo una shida gani?

Mtandao wa Vodacom leo una shida gani?

Kitu kimekubali muda huu, ila mapepo tu leoo mpaka nimewatukana wale wadada wa "Namba unayopiga haipatikani."
 
Had huku simu hazitoki
Ila niliwacheki wanasema wanafanya marekebisho
 
Ni kweli leo voda wanazngua ht nikituma text znakawia kuwa delivered, mara data inajizma kila mara inshort it's all messed up
 
Huku geita mpka dakika hii chenga
Kama upo geita. Wape salamu , jamaa zangu wa Mphomvu ., Magema, Nyankumbu, mbugani, Buchundwankende, Compaund, bomani, Kagera. Tambukareli, Shilabela, nendeni na Amani, Katundu, Mbagala, 14 Kambarage, Mwatulole, Bila kusahau Mitaa ya Classic.
 
Sio voda tu almost mitandao yote kwa maeneo tofauti kuna shida mahali

Nina watu wawili wa tigo wanalalamika, voda mmoja,binafsi airtel ni shida tu
 
Back
Top Bottom