Watchtower
Member
- Sep 18, 2022
- 93
- 182
Wakuu nipo Morogoro, tangu asubuhi siwezi kupiga simu za Voda. Vipi kuna changamoto ya mtandao?
Last seen June 25, 2020
Aisee hii damage waliyotupatia leo ni Kubwa sana tena bila taarifaYani kuna shida hata menu hazisomi
Kuna wakati inazingua..uku Arusha upo safi
Kuna wakati inazingua..