masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,643
- 14,642
Lini watuhumiwa waliisha shughurikiwa kwa kila tukio lililo husishwa na CHAMA CHA KIFISADi, nini kitawasukuma mpaka waanze na hili swala la Arusha, wanajupumbaza weneywe. hamauana namana yoyte inayo tenge tukio na serikali, labda wadai kama ni askari walifanya kwa matashi binafsi, na mulugo anaweza kuongea kitu chochote cha maana?
Katika sakata la kuonekana kuwa suala la mabomu ya Arusha ndio kwanza linaaza, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, amesema uchunguzi wa milipuko hiyo(Olasiti na Soweto) unaendelea na hakuna atakayebainika atakayeachwa atambe.
Kwa wale wenzangu na miye ambao hamsomi gazeti la Uhuru, leo wametoa freshi.
Kulingana na gazeti hilo Uhuru la Julai 4, 2013, nanukuu:
"Na Lilian Mollel,Arusha
Mtandao wa ulipuaji wa mabomu katika jiji la Arusha umebainika na kwamba, mipango yote ilianzia jijini humo, pamoja na wahusika wake.
Taarifa za awali kutoka jeshi la polisi zinasema milipuko iliyotokea katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi,Olasiti na ule wa Uwanja wa Soweto, licha ya mabomu hayo ktengenezwa nchi tofauti.
Bomu liliolipuliwa uwanja wa Soweto Juni 15 limetengenezwa nchini China na lile la Kanisani lililolipuliwa Mei 5 , mwaka huu limebainika kutengenezwa Russia na halikuwa na namba za usajili..
Imeelezwa kuwa wataalamu toka China wapo jijini Arusha wakifanya uchunguzi wa kina kuhusu bomu hilo........"
Vile vile ......
Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Magesa Mulongo, amesema
" Alisema makachero wa polisi na vyombo vingine vya ulinzi bado wapo jijini hapa wakiendelea na kazi na kwamba mtandao huo wa walipuaji umebainika."
Wana JF msemo kuwa serikali ian mkono mrefu sasa utatimia, maana pale Arusha kuna FBI, Wachina na hata vyombo vyetu vya dola.
Hapo ndio patamu maana ukweli lazima utabainika.
Wale wenye DVR zao kama zilivyokuwa zikitamba kuwa ni polisi walihusika ni bora wakashirikiana na kuyaweka hadharani sasa ili watuhumiwa wapelekwe kwa pilato.
Kipi/wapi huo mtando ulipobaini? Akina nani hao mbona na wewe unaleta porojo za akina Mlongo tu??
Tunataka uje hapa na majina na ushahidi mwingine usio nashaka juu ya hilo,
Hizo porojo wapelekee lumumba huko sio hapa,
Jwtz lilibaini tangu siku moja baada ya tukio kuwa bomu na risasi vimetengenezwa China, sasa wewe unawafanya watu wajinga kuwarudiarudia kusema hayo?
Kwa tulipofikia jeshi la polisi linatakiwa livunjwe
Limekosa mwelekeo kabisa....wanashindwa kutambua jamii imebadilika kabisa
yapo mambo ambayo mwenye akili hawezi kabisa kuwaelewa hata kidogo
MPAKA leo umma haujawahi ambiwa uchunguzi walioufanya wa Mengi-mwanawe alitaka abambikiziwe madawa ya kulevya wamefikia wapi
MPAKA LEO Viongozi wa dini kule zanzibar waliomwagiwa tindikali( msaidizi wa mufti) na mwenzake uchunguzi waligundua nini
MPAKA leo uchunguzi wa Padre aliyejeruhiwa kwa risasi kule zanzibar uchunguzi unaendelea
MPAKA LEO padre aliyeuwawa kwa risasa zanzibar uchunguzi ..wamefanya majibu hakuna
Kuna mwanachadema aliuwawa USA river-Tengeru hatujasikia watu kupelekwa mahakamani
Igunga kuna Raia aliuwawa hakuna waliofikiswa mahakamani
Bomu La kanisani Arusha majibu hakuna
TUNAWASHANGAA nguvu kubwa wanayotumia kuwakandamiza CHADEMA kwanini wasiitumie kusaka vibaka na kutoa majibu ya hizo chunguzi zao tata ambazo zimechukua miezi miaka bila majibu?????? kwa jinsi mambo yanavyokwenda utafikiri Mwingulu ndio IGP anachokitaka yeye ndio mnakifanya tena kwa nguvu zote
Tambueni mnatakiwa muwe sehemu ya jamii...sasa pale jamii inapoona mnapendelea wazi wazi.....mnapata picha gani...tambueni....matumizi ya nguvu hata siku moja hayajawahi kuwa suluhisho la matatizo.....sio Kwamba watanganyika hawaoni na kuelewa kinachoendelea CAIRO...Brazil....Uturuki
wewe unayekimbilia kutukana yawezekana ndiyo mhusika,
kwa nini ukimbilie kuhamaki kama siyo mhusika unajua kuwa mwisho wenu utafika tu.
mkuu naona upo of tanzania hujui kuwa muuaji wa padri yuko rumande na kesi yake inaendelea.
muuaji wa kiongozi wa chadema usa yuko rumande na kesi inaendelea sijui unalalama nini.
Muuaji wa Kiongozi wa CHADEMA USA River alimnyang`anya silaha askari akakimbia, akavuka mto akasepa! Hakuna taarifa kuwa amekamatwa, japo alikamatwa kwa Mganga wa Kienyeji KONDOA!! Usipotoshe ukweli please!!mkuu naona upo of tanzania hujui kuwa muuaji wa padri yuko rumande na kesi yake inaendelea.
muuaji wa kiongozi wa chadema usa yuko rumande na kesi inaendelea sijui unalalama nini.
Masopakyindi hapo tuu ndipo tunapotofautiana, cant you connect the dots au sisi tuliosoma zamani mambo hayo nhatukuwa nayo? Evidence ni, 1. Chairman Kasema poleni CHADEMA, 2. Katibu mwenezi anasema ni CHADEMA, 3. Katibu msaidizi anasema ni mataifa ya nje kwa kuwa wana wivu wa raslimali zetu!
try connect the dots, kukosya i soni nkamu, baghogi abo! Angalia similar incidence ya Ulimboka, double standards, same occurrence and contradictions among the leaders, like for instance, how the President and his subordinates mismatched their comments! , we don't have a smart TISS!
We know what they are doing for, some of us are even smarter than the TISS! Ukitaka kujua angalia bomu limerushwa pamoja na kuwa mkutano ulikuwa wa CDM lakini kama dola isingekuwa na mkono, ungeona uhusika wa dola katika tukio zima kwa kupitia Bunge, CCM na viongozi! Unajua wangekuwa wamaplan wazungu it could be even harder to know who are the culprits, lakini sisi waTanzania sio wanafiki, Dola wameona hata aibu ku attend kwenye msiba, wamebaki ku comment kwenye uhuru shame on them!