Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 519
- 1,463
Habari wana JF nataka kufahamu kama kuna changamoto yeyote kwenye mtandao wa twitter X
! Maana Nafungua lakini inagoma, kama kuna mfungo wa huu mtandao naomba maelezo kutoka kwa wale watumiaji wa twitter X