Mtandao wa tritel kwenye modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtandao wa tritel kwenye modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Machozi ya Simba, May 29, 2012.

 1. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,108
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  hey guys nnatumia join air nikisearch network kuna mtandao unaitwa tritel hivi huu ni mtandao wa wapi lkn zaman nikiweka lain ya voda huu mtandao ulikua unapiga mzigo with roaming activated lakin kwa saivi unakataa hv huu mtandao ni upi
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  Ni zantel network yao ya cdma kwa ajili ya modem zao
   
 3. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  wakuu naomba msaada nilipounstall dashboard ya vodafone K3570z na kuweka join air kompyuta yangu imeshindwa kusoma modem nifanyeje?
   
 4. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,108
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  mbona sasa inakubal kwenye voda
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  Na mbona imeandika roaming

  Zantel maeneo meng tanzania wanashare minara na voda
   
Loading...