Mtandao wa Tigo fanyeni maremkebisho kwenye Internet

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,066
2,363
Nashangaa mnalijua hili kua mpo chini sana kwenye Internet hata ku download kitu kidogo Tigo ni issue, acheni kutusumbua fanyeni kazi, nyie ni jipu
 
we nawe acha uzembe hamia halo mimi bwana kiukweli hata mke wangu akiwa anasumbua namuaha itakuaa mtandao kwani miea nimezaliwa nao acha hukua halo gonga mzigo
 
Nashangaa mnalijua hili kua mpo chini sana kwenye Internet hata ku download kitu kidogo Tigo ni issue, acheni kutusumbua fanyeni kazi, nyie ni jipu

Kweli kabisa aisee, yani Tigo internet yao ni bure kabisa acha tu kudownload, hata ku surf tu kikawaida ni shida, rekebisheni internet yenu
 
we nawe acha uzembe hamia halo mimi bwana kiukweli hata mke wangu akiwa anasumbua namuaha itakuaa mtandao kwani miea nimezaliwa nao acha hukua halo gonga mzigo
Nina Halotel hapa ila bando imrniishia nikasema ngoja nitumie Tigo yani nilijuta.
 
Jana kwa mara ya kwanza nimetumia laini ya tigo,ni upuuzi mtupu situmii tena
 
Ni ngumu Mtu wa CCM kutotetea Vibovu leo umeweza?
Aisee jamaa umenishushia heshima yangu sana,umenidharirisha sana na umejishushia heshima yako mwenyewe,MI CCM??? Naomba unitake radhi Mimi siwezi kuwa CCM NA SIJAWAHI KUWA CCM TOKA NIZALIWE NA SITAKUWA MPAKA NAKUFA....intake radhi ndani ya Massa 24 la sivyo tukutane kisutu
 
Halotel kiboko yao!!!

Na voda nao ndio wanajifia taaratibuu... Kama hawaoni vilr
 
kuja halotel huku mdau achana na tigo haifai kabisa tena weka mbali na watoto
 
Nishaachaga zamani kutumia internet ya tigo hata kama kuna bado ya bure situmii
 
Back
Top Bottom