Mtandao wa telegram

Mtandao wa telegram

sayoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
5,281
Reaction score
7,953
Habari wadau , hivi ndo tuseme telegram bongo imepigwa ban , maana Nina zaidi ya miezi kadhaa nashindwa kuitumia , nime uninstall na kuinstall upya lakini wap, shida Nini waugwana
 
VPN
 
Ushammiss Farida au yule mwenye ua kiunoni
 
Back
Top Bottom