tutafikatu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 3,425 Reaction score 4,773 Oct 14, 2016 #1 Huu mtandao nadhani hawajielewi. Ni kawaida sana kukuta mtandao umekata bila taarifa yoyote. Nimekuwa nina experience mbaya nikiwa Dar, Mbeya na Arusha. Leo nimekuja Mbeya, hakuna network. Natamani nitupe MiFi yao. Jirekebisheni!!!
Huu mtandao nadhani hawajielewi. Ni kawaida sana kukuta mtandao umekata bila taarifa yoyote. Nimekuwa nina experience mbaya nikiwa Dar, Mbeya na Arusha. Leo nimekuja Mbeya, hakuna network. Natamani nitupe MiFi yao. Jirekebisheni!!!