Sule the don
Member
- Jul 28, 2013
- 52
- 2
Ulipita peku peku? Kuwa na uhakika, kapime tena baada ya miezi mitatu
Daaah wadau last week nlpoct kugundua gal nliempita alikua na v.v.u nikajitia ujasir nikaenda chek afya npo mzima kuanzia xaxa mtandao wa ngono basi tena sitaki kbxaaaa nawashaur mkapime wadau ambao amjajua afya zenu
kuna kipindi wanaita 'window period' pima tena baada ya miezi 3. Baki njia kuu, service road noma,kuna kila takataka, hata magari yaliyoharibika yapo
Haya ya kipindi cha dirisha yalikuwa zamanikuna kipindi wanaita 'window period' pima tena baada ya miezi 3. Baki njia kuu, service road noma,kuna kila takataka, hata magari yaliyoharibika yapo