Mtandao wa badoo unatumika vibaya

We nawe unapenda kutest. Kila pahali lazima uingie? Utaja tumbukia shimoni, hiario
 
Badoo safiiii..tunatiririsha mbegu kama faru
 
Mitandao mingine naisikiaga tu kama hiyo badoo,instagram sijui twitter yani vimenipita kushoto
 
Me ulinishindaga toka mwaka juzi...

Eti ukitaka kuchart utume picha kwanza...
 
Huo mtandao nilijiunga nakumbuka msg zake sasa nying napokea wanaume za ajabu ajabu yaan nkafuta haraka hiyo app zinakujaga tu mails ila kuna mwingine unaitwa eskim sjui kwa sasa mana nilijiunga kama miaka miwil nyuma asee full kutongozana nkaona haufai na ipo mingi mshana sio hii pekee
 
Madada wa badoo wadada wote ni wanavaa nusunuchi halafu... Wanapiga picha wanaonesha mat....ks yao.
 

Mamafb mi mwenyew nataka nikutongoze huku huku JF
 
Hahaha ule mtandao ni kwa ajili ya mapenzi, na makahaba wote wamejiunga huko, kama una ugwadu na huwezi tongoza jiunge huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…