Wakuu habari za leo! Natumia line ya Airtel Tanzania, leo ni takriban siku ya nne network inasumbua dak2 nimeikosa dak4 napata net!! Hivi ni simu yangu tuu? Au hawajamaa wanatatizo kwenye mitambo yao! Naomba msaada kama kuna mwenye tatizo kama langu ili niwakimbie airtel!