Airtel , TTCL na Voda wako fair. Kwa matumizi ya kawaida{light users} kupitia mitandao yao, huduma iko poa interms of speed and costs. Kwa upande mwingine, kwa watumiaji wakubwa wa internet{heavy users} bado ni tatizo maana gharama ziko juu. Hapa nina maanisha kwa wale wanaotaka kudownload movies,softwares, kuangalia online video,movies n.k. Nimeshatumia huduma za internet kupitia zantel,airtel,voda na ttcl. Nikiambiwa nichague mtando bora kwa maana ya speed na cost nitachagua airtel. Ingawa vilevile vigezo hivyo vinaweza kuwa tofauti kulingana na eneo husika, aina ya modem n.k.