Mtandao pendwa umeniathiri

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,419
Wakuu,

Nimekumbwa na tatizo kubwa la hisia hasa nnapopewa tunda la mti wa kati sababu ya hii kitu ni ushiriki wangu kwenye mtandao pendwa ambako nikipewa tu nasisimka.

Lakini nikirudi kwenye tunda la nyumbani la kawaida ashki zinakushnehi kabisa, nimejaribu kuacha mtandao pendwa kwa muda lakini bado hali ni ileile mbaya zaidi siwezi mwambia huyu anipe hilo limtandao.
Naomba msinishambulie zaidi mnisaidie najua sipo peke yangu.
 
Yakupasa utambue kwanza una tatizo, ulikubali, ndio ulitafutie dawa.
Wewe usipotambua una tatizo ni ngumu sana sisi kukusaidia.
Kujua una tatizo utakua umefikia nusu ya suluhisho lako.

Tatizo linaanza na matumizi ya mtandao, Je ni sahihi? Kwako, Kwa mwenzako,
Kwa Nafsi yako, Kwa afya yako na mwisho kwa Mungu wako unayemwabudu?

Baada ya hapo, utaweza saidika.. Vinginevyo tutakua tunapaka rangi upepo hapa.

''As a man thinketh, So he is'' If you wanna be different from who you are now, Change your thinking

 

Msome kaka Tized kwa makini kama kweli umeomba ushauri ili ubadili tabia basi ushauri wa kaka Tized unatosha kabisa. Sometime mnachosha kuuliza vitu kwa makusudi mkipewa ushauri mzuri hata hamjaribu kuufanyia kazi, basi hata ujilazimishe kufanyia kazi mashauri unayopewa hakuna. Loh!
 
Alafu huu ufirauni saivi umekuwa fashion

Asante Mkuu kwa kuliona hili,nalipiga vita popote pale nilipo.yani asilimia kubwa ya wapenzi wanafanya huu ufirauni.ukiwaambia waache wanakujibu ''utamu wangoma aujuae mchezaji''.hahahahahah! yani hadi nachoka .inabidi tuanze kutoa elimu juu ya hili janga.
 
Ni hatari sana. Tumeiga kila kitu toka kwa wazungu na waarabu.

Hawa watu walituletea imani zao za kikiristo na kiislam, tumechukua kama zilivyo tumezifanya kuwa sehemu ya maisha yetu, well and good.

Walitufanya watumwa, tumewatumikia maisha yetu yote, hadi industrialization ikaingia, tukawa na uwezo kidogo, sasa imekuwa zamu yetu kufanyana watumwa.

Wametuletea evolution of technology, na sisi tumepokea technology hizo kila kukicha...sasa tunakaribia kuingia 5th generation in terms of technology...well and good!

Katika hiyo technology sasa ndo mambo yanazidi kuharibika, watu na mitandao...hata maisha yetu tunashindwa kuyaongoza na tatizo tumekuwa tukikopi kila anachofanya mtu mweupe...

...Sasa wanakuja watu wanakuambia usikemee " Live and Let Live" wanasema inakihusu nini kama mtu kaamua mwenyewe muache...hii ndio jamii tunayoishi nayo sasa...!
 
Hatukushambulii

Ila ndio hivyo, upo peke yako na mtandao wako
 

Kabla ya kuingia kwenye uhalali au uharamu wa huo mtandao ni ukweli ulio wazi kuwa survey zinaonyesha kule kuna extra-raha....so yanayokukuta ni normal under the circumstance.

Sasa unaloweza fanya ni kujiambia na kujiridhisha katika nafsi yako kuwa njia ya mbele ni tamu kama kawaida na kwamba experience yako ya mtandao pendwa haiwezi ikasababisha utamu wa mtandao halali ufifie. Na maadam mwenzi wako huwez kumwambia basi komaa tu baada ya muda hiyo hali itakwisha..la msingi usijaribu kutafuta unayeweza kumwambia akupe..utachepuka hata kwenye ndoa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…