Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Mtandao wa Ugaidi wa ulipuaji mabomu umenaswa huko Arusha wamo Shehe, Imamu wa msikiti na mfanyakazi wa benki. Jeshi la Polisi linaendelea kuwasaka wengine.
=================================

Chanzo: Mtanzania
 
Tatizo mnaamini sana "dini" na "labeling" !!!!!

Deviants lazima watoke miongoni mwa jamii

af kuna watu wanaona kwamba kuitwa mkristo ama muislam ukafanya kosa fulan ni big deal na tena hufikia kuvictimize watu wote wa dini ile.

apart from siye kuwa na dini fulan lkn haijatufanya tusiwe binadamu wa kawaida na ambao tunaweza kukosea kiwango cha kawaida.

kisa kakutwa na mabom ni ishu lakin kwenye kutenda dhambi nyingine bado kunaonekana hakuna tabu
 
Mtandao wa Ugaidi wa ulipuaji mabomu umenaswa huko Arusha wamo Shehe, Imamu wa msikiti na mfanyakazi wa benki. Jeshi la Polisi linaendelea kuwasaka wengine.

Source : Mtanzania leo.

kama ni soweto walipuaji ni polisi...
 
sishangai mbona chimbuko la vikundi vyote vya ugaid dunian ni hao jamaa watoto wa mama mdogo,na sijui wanamuabudu nani?
 
Santeeee!!!!
 
Yaani hata watu kujiuliza tu kwa nini magereza kuna wafungwa wa religious denominations zote ni ngumu???!!!
 
af kuna watu wanaona kwamba kuitwa mkristo ama kukosea kiwango cha kawaida.

kisa kakutwa na mabom ni ishu lakin kwenye kutenda dhambi nyingine bado kunaonekana hakuna tabu
usitetee ugaidi wewe,
 
Yaani hata watu kujiuliza tu kwa nini magereza kuna wafungwa wa religious denominations zote ni ngumu???!!!

propaganda za vyombo vya Habari zimechangia kwa kiasi kikubwa kueneza chuki na fikra potofu, sio Tanzania tu bali ulimwenguni pote.

Matokeo yake Ndio tunayo yaona Leo, na Kuna hatari ya matokeo mabaya zaidi huko tuendako.
 
Tatizo mnaamini sana "dini" na "labeling" !!!!!

Deviants lazima watoke miongoni mwa jamii

Deviant characters wakiwa na kitu kinachowaunganisha kama dini au pombe au bange lazima tuhoji hicho kinachowaunganisha. mf. kinachowaunganisha mateja ni unga. ili kutatua matatizo ya mateja lazima tu address unga. hivyo hivyo uislam kwasababu walipua mabom wote ni waislamu. magaidi wote ni waislam hii inatufanya to deduce kwamba uislam ni tatizo ndani ya jamii yetu. tuuepuke
 
propaganda za vyombo vya Habari zimechangia kwa kiasi kikubwa kueneza chuki na fikra potofu, sio Tanzania tu bali ulimwenguni pote.

Matokeo yake Ndio tunayo yaona Leo, na Kuna hatari ya matokeo mabaya zaidi huko tuendako.

Mazuzu mkuu peri , mazuzu ndio yanatuharibia jamii wazi kabisa na mitandao pamoja na huu, mijadala ya kifalla kabisa inapewa uhuru humu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…