Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,660
- 19,377
Siku ya kwanza wanapokufanyia demonstration zinakua ni pesa halali kabisa mkuu. Na mimi kwa ushauri wangu "wakikutengenezea" hizo pesa za maonyesho mara ya kwanza wewe wape tamaa kua kuna mzigo mkubwa sana unataka waubadilishe kisha zichukue hizo walizokutengenezea zichukue halafu usiwatafute tena!ile siku ya kwanza ni kweli zilikuwa hela?
Hajatiwa nguvuni bado anasubiri nini!?