Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,953
- Thread starter
-
- #21
mmefeli,em jaribuni tenaKaka ingia hapa kuna uzi mubashara kabisa na wa kisasa unaojadili mitandao ya simu pamoja na mabando nafuu,stelingi ni Chief mkwawa! Vifurushi vya internet visivyo rasmi kwa makampuni ya simu
Kaka tumia HALOTEL
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
anha asante...Voda kwangu ndio dili, tena kwa mwendo wa 3G.
Kikubwa angalia sehemu ulipo mitandao mingine inazingua kwa hiyo tumia unaokubali kulingana na eneo husika bila kujali ishu ya bando, ili usipitwe na mambo kemkem hapa platform
Mambo zenu,
Am so down yani,nina TTCL,HALOTEL,AIRTEL,TIGO ila hakuna hata line moja nayoifurahia huduma zake esp za data.....
Yani speed zao ziko very very low,naexperience unstable connection hadi natamani kulia...
Mambo yangu yanaenda slow pia saabu ya mtandao mbovu...
Wale wa voda vipi huko wenzangu,nihamie au nako magumashi???
Wale wa smart je,kukoje huko???
Asikudanganye mtu kaka🙂 voda wako poa. mi nina modem yao na ninangilia mpira bila shida.nimejaza movie na music kwakutumia wao. hiyo ni 3G.mmefeli,em jaribuni tena
Kaka tatizo lako limepata ufumbuzi?mmefeli,em jaribuni tena
Tumia HALOTEL kaka but angalia na eneo ulilopo usiwe unalalamika tu kumbe upo Mabondeniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka ingia hapa kuna uzi mubashara kabisa na wa kisasa unaojadili mitandao ya simu pamoja na mabando nafuu,stelingi ni Chief mkwawa! Vifurushi vya internet visivyo rasmi kwa makampuni ya simu