Mtandao gani wa simu uko poa???

Scorpio Me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
6,119
7,933
Mambo zenu,

Am so down yani,nina TTCL,HALOTEL,AIRTEL,TIGO ila hakuna hata line moja nayoifurahia huduma zake esp za data.....

Yani speed zao ziko very very low,naexperience unstable connection hadi natamani kulia...

Mambo yangu yanaenda slow pia saabu ya mtandao mbovu...

Wale wa voda vipi huko wenzangu,nihamie au nako magumashi???

Wale wa smart je,kukoje huko???
 
Mkuu kuna Uzi humu ndani kuhusu mitandao hii ya simu na huduma zake jaribu kufanya search unaweza upata. Ushauri unaweza kununua both voda and smart utapata jibu.
 
swala la mtandao linategemeana na mahali ulipo, mfano huku kwetu Tigo, Voda & airtel ni magumashi kwenye DATA so Halotel ndio mpango wote
THIS POST HAS BEEN SENT BY USING HALOTEL NETWORK
 
Voda kwangu ndio dili, tena kwa mwendo wa 3G.

Kikubwa angalia sehemu ulipo mitandao mingine inazingua kwa hiyo tumia unaokubali kulingana na eneo husika bila kujali ishu ya bando, ili usipitwe na mambo kemkem hapa platform
 
Back
Top Bottom