Mtambue mwanamke

Nikikutongoza ukileta mapozi nakupotezea tu maisha yaendelee
 
Wanaume mna tabu. Yani kumfanya mtu hakupendi akupende, nikipaji
 
Unataka kutuaminisha tumfatilie mwanamke kama tunavyofatilia mafao ya kustaafu?
Ooh!shit Demu akinizingua zaidi ya wiki akafie mbele ya safari
 
Mwanamke hatongozwi zaidi ya mara 3 kama Bado haeleweki unapiga nyama chini unatafuta soko mpya

Ikiwa bado anajisogeza unatumia njia ya outing(pay bills) na kula mzigo ..
 

Mkuu usiwaandikie wanawake, waache waandike wenyewe.
 
Primitive love mtu akikielewa elewaneni tu mambo ya kubembelezana ni upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…