Mtambo wa...!

Sio gongo hiyo?Nimekumbuka gongo jamani sijui nitainywa lini tena....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji22] [emoji87] [emoji74] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ninazo lita 5 za kizibiti nitafute
 
Weka lita mbili
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] pekeyako?
 
Inanikumbusha kwa babu loliondo

kuna sehemu katavi babu anatengeneza pombe moja matata sana,wao wameeita loliondo watu wanalewa na kujiharishia tu. watu wa katavi watakuwa wanapajua kazima huko ni balaa
 
Nilidhani mtambo wa mauti by ben mtobwa..
kumbe ng'aring'ari mnyeso kitu cha kuyumba ha ha ha
 
hahahahahah.... mtambo wa kutengeneza gin ya kienyeji.. pure chang'aa,very deliciuos kwa sisi wazee wa magumu kumeza ila nyingine ni kali sana aisee..
 
Yani kule monduli kwenye jimbo la mstaafu ni meeeengi sana nikajua wanagandishia maziwa labda, kumbe ni mtambo wa viroba?😱ahsante JF kwa kunisafisha macho leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…