The Amazon
Member
- Jan 16, 2017
- 29
- 44
Hongera,if you don't mind...umelima eka ngapi na kila eka inatoa gunia ngapi?Habarini wakuu!
Naomba kujua soko la uwakika la mtama mweupe kwani nategemea kuvua zaidi ya gunia mia tano za mtama mweupe mwezi ujao.
Kama hutajali nijulishe utavuna lini na unapatikana wapi ili nikuunganishe na mteja....Habarini wakuu!
Naomba kujua soko la uwakika la mtama mweupe kwani nategemea kuvua zaidi ya gunia mia tano za mtama mweupe mwezi ujao.
Mkuu nimelima eka 50 na ninaexpect kupata kila eka gunia 10Hongera,if you don't mind...umelima eka ngapi na kila eka inatoa gunia ngapi?
Nategemea kuvuna mwezi wa nane mwanzoni shamba liko manyara mkuu.Kama hutajali nijulishe utavuna lini na unapatikana wapi ili nikuunganishe na mteja....
Okay,ngoja nimjulishe nitakupa mrejeshoNategemea kuvuna mwezi wa nane mwanzoni shamba liko manyara mkuu.
Hongera sana sana...Mkuu nimelima eka 50 na ninaexpect kupata kila eka gunia 10
Mkuu kama issue yako ni halisi nakushauri nenda Arusha kamtafute Mzee Nyirenda yupo ndani ya Sido Arusha anauwezo wa kuufuata na kuuchukua wote. Anajihusisha sana na bidhaa zitokanazo na mazao ya kilimo hasa nafakaHabarini wakuu!
Naomba kujua soko la uwakika la mtama mweupe kwani nategemea kuvua zaidi ya gunia mia tano za mtama mweupe mwezi ujao.
Ahsante sana mkuu,nitafanya ivo.Mkuu kama issue yako ni halisi nakushauri nenda Arusha kamtafute Mzee Nyirenda yupo ndani ya Sido Arusha anauwezo wa kuufuata na kuuchukua wote. Anajihusisha sana na bidhaa zitokanazo na mazao ya kilimo hasa nafaka
Wasalaam
Kuna thread moja ilikuwa humu humu JF jamaa alikuwa anatafuta mtama mweupe tena tani za kutosha embu jaribu kutafuta thread hiyo.Habarini wakuu!
Naomba kujua soko la uwakika la mtama mweupe kwani nategemea kuvua zaidi ya gunia mia tano za mtama mweupe mwezi ujao.
Yupo tayari kununua,ukishakuwa tayari niPMAhsante sana mkuu,nitafanya ivo.
Nenda TBL au Serengeti Breweries moja kwa moja.Habarini wakuu!
Naomba kujua soko la uwakika la mtama mweupe kwani nategemea kuvua zaidi ya gunia mia tano za mtama mweupe mwezi ujao.
Mkuu sio kila mtama Tbl wananunuaNenda TBL au Serengeti Breweries moja kwa moja.
Una uhakika? au unazani wananunua tu ilimuradi?Nenda TBL au Serengeti Breweries moja kwa moja.