Heaven Sent Platinum Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,719 Reaction score 98,386 Sep 3, 2014 #21 lolowapi said: Kama suala la shepu amchukue wema na kajala tu,hamna wa kuwafikia bongo move. Click to expand... Batuli, uwoya, wellu sengo hawana shape?
lolowapi said: Kama suala la shepu amchukue wema na kajala tu,hamna wa kuwafikia bongo move. Click to expand... Batuli, uwoya, wellu sengo hawana shape?
L lolowapi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 1,135 Reaction score 490 Sep 3, 2014 #22 Heaven Sent said: Batuli, uwoya, wellu sengo hawana shape? Click to expand... Wote wazee hao wema ana 22
Heaven Sent said: Batuli, uwoya, wellu sengo hawana shape? Click to expand... Wote wazee hao wema ana 22
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,112 Reaction score 72,581 Sep 3, 2014 #23 lolowapi said: Wote wazee hao wema ana 22 Click to expand... Wema mbayaaaa
L lolowapi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 1,135 Reaction score 490 Sep 3, 2014 #24 Dinazarde said: Wema mbayaaaa Click to expand... Aaaah wapi toto la kiafric limeumbika.sikiliza wimbo wa mtoto wa geti kali wa insp. haruna ndio wema kazungumziwa humo.
Dinazarde said: Wema mbayaaaa Click to expand... Aaaah wapi toto la kiafric limeumbika.sikiliza wimbo wa mtoto wa geti kali wa insp. haruna ndio wema kazungumziwa humo.
Heaven Sent Platinum Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,719 Reaction score 98,386 Sep 3, 2014 #25 lolowapi said: Wote wazee hao wema ana 22 Click to expand... Hahahhahahahahahhahaha mbavu zangu mie. Kumbe umri wake huwa una-pause eeeh? Hao kina batuli basi wote wapo under 18 according to egyptian calendar
lolowapi said: Wote wazee hao wema ana 22 Click to expand... Hahahhahahahahahhahaha mbavu zangu mie. Kumbe umri wake huwa una-pause eeeh? Hao kina batuli basi wote wapo under 18 according to egyptian calendar
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,112 Reaction score 72,581 Sep 3, 2014 #26 Heaven Sent said: Hahahhahahahahahhahaha mbavu zangu mie. Kumbe umri wake huwa una-pause eeeh? Hao kina batuli basi wote wapo under 18 according to egyptian calendar Click to expand... Lolowapi hua anamuota wemaa
Heaven Sent said: Hahahhahahahahahhahaha mbavu zangu mie. Kumbe umri wake huwa una-pause eeeh? Hao kina batuli basi wote wapo under 18 according to egyptian calendar Click to expand... Lolowapi hua anamuota wemaa
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,112 Reaction score 72,581 Sep 3, 2014 #27 lolowapi said: Aaaah wapi toto la kiafric limeumbika.sikiliza wimbo wa mtoto wa geti kali wa insp. haruna ndio wema kazungumziwa humo. Click to expand... Ni kweli ameumbika kama ramani ya East Afrika
lolowapi said: Aaaah wapi toto la kiafric limeumbika.sikiliza wimbo wa mtoto wa geti kali wa insp. haruna ndio wema kazungumziwa humo. Click to expand... Ni kweli ameumbika kama ramani ya East Afrika
Heaven Sent Platinum Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,719 Reaction score 98,386 Sep 3, 2014 #28 Dinazarde said: Lolowapi hua anamuota wemaa Click to expand... Hahaha yani huyu na maatope ni balaa