Niliblock namba bro, baada ya siku tatu mwili kupoa, na organ zote za mwili kurudi katika hali ya kawaida nikarudi kwa ile number taratibu nikai unblock....

Mtakuja kufa kwa mshtuko wa moyo, mapenzi ni kufurahia na sio kukomoana. Unapiga game, ukitoka hapo uwezi kutembea. Nyapu imetepeta, mkuyange umevimba mambo gani sasa hayo?