Mtake msitake CCM imejaa viongozi waongo

Mtake msitake CCM imejaa viongozi waongo

Yaani Mbowe alipoanza kumtukana marehemu hadharani na kumkashifu akiwajumuisha na wasukuma wote nilikidharau sana chama chake.
Bora tuendelee na ccm walahi.
Na wale walosema, rudi na mavi yako nyumban, mara mpaka tuwape mimba wake zenu ndo mjue tunafanya kaz, mara zito anastahili kuuwawa, mara sasa hivi hatutumii risasa ni sindano ya sumu tu. Jitathmini sana acha mahaba ya uchama, Tanzania ni yetu site.
 
Za kuambiwa changanya na za kwako...
Tuchanganye zetu sote,ili wazidi kuumbuka,tatizo Miccm haikosi cha kudanganya,wana hiari hata watumbuane alimuradi waonekane wapo katika mstari,yupo wapi Chakubanga na Bushiri wakiipamba CCM kwa kila rangi.
 
Back
Top Bottom