Mbowe yupi?Yaani Mbowe alipoanza kumtukana marehemu hadharani na kumkashifu akiwajumuisha na wasukuma wote nilikidharau sana chama chake.
Bora tuendelee na ccm walahi.
Ya mleta mada umesema kweli.. hawa hapa pichani ni baadhi tu ya viongozi wa juu wa CCM ambao wanaishi kwa kutumia siasa za uongo na ulaghai ili wajaze matumbo yao.Hapa kijijini bado tunasubiri ile ahadi ya Milioni 50,sas wale wa Mjini Kawe sijui weshanufaika ?
Hakuna Chama kilichojaa viongozi waongo kama CCM wao ni ahadi kwa kwenda mbele,wameshaona watanzania ukiwaahidi wanapumbaa na kusubiri ahadi na hata kama hutaitimiza wao wanakuahidi lingine.
Tunataka tume huru ya Uchaguzi.
Weka ushahidi Mbowe akiwatukana wasukma,nje na hapo hizo ni cheap politicsYaani Mbowe alipoanza kumtukana marehemu hadharani na kumkashifu akiwajumuisha na wasukuma wote nilikidharau sana chama chake.
Bora tuendelee na ccm walahi.
Tume huru itapatikana baada ya mwenyekiti wetu Mbowe kuheshimu katiba ya chama chetu ambayo inaruhusu wenyeviti wa chadema wakae madarakan kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano.Hapa kijijini bado tunasubiri ile ahadi ya Milioni 50,sas wale wa Mjini Kawe sijui weshanufaika?...
Hiyo ndio Siasa mkuu..!!Hapa kijijini bado tunasubiri ile ahadi ya Milioni 50,sas wale wa Mjini Kawe sijui weshanufaika ?
Hakuna Chama kilichojaa viongozi waongo kama CCM wao ni ahadi kwa kwenda mbele,wameshaona watanzania ukiwaahidi wanapumbaa na kusubiri ahadi na hata kama hutaitimiza wao wanakuahidi lingine.
Tunataka tume huru ya Uchaguzi.
Jikite kwenye madaMWAMBIE MWENYEKITI WAKO ATUPE MREJESHO WA MAPATO NA MATUMIZI YA ZILE FEDHA ZILIZOCHANGISHWA KWENYE ZILE NDOO NYEUPE KIPINDI CHA KAMPENI MWAKA JANA. MSIFIKIRI TUMESAHAU.
Hiyo ahadi ya milioni 50 kila kijiji ilitolewa na ccm,so,wako answerableMkuu kuna mtindo umezuka miaka hii ya karibuni kwa viongozi wa kisiasa hasa ngazi za juu, kuwaahidi wananchi utekelezaji wa maendeleo katika maeneo yao kwa ahadi za kutoa fedha za Serikali ambazo hazipo kwenye bajeti na hata mradi wenyewe haupo kwenye bajeti. Ni vyema kufanya kazi zao kwa kufuata sheria, kanuni, na taratibu tulizojiwekea. Miradi ya kisekta ambayo haipo ndani ya bajeti isitekelezwe bila idhini ya mamlaka husika, vinginevyo tusiwape matumaini wananchi ambayo hayapo.
Jikite kwenye mada acha kudivergeTume huru itapatikana baada ya mwenyekiti wetu Mbowe kuheshimu katiba ya chama chetu ambayo inaruhusu wenyeviti wa chadema wakae madarakan kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano. Chadema chetu ni cha demokrasia na maendeleo kila mtu anaweza kuwa kiongozi wa chama kwa mujibu wa sheria. Hakikuundwa kwa ajili ya utawala wa kifalme kama anavyofanya Mbowe. Ki ukweli anatuharibia sifa ya chama.
Mkuu ukiwauliza, vipi mbona hawaitekelezi ahadi yao, maana Serikali za vijiji wanazisubiri!! WANASEMAJE?Hiyo ahadi ya milioni 50 kila kijiji ilitolewa na ccm,so,wako answerable
Muda wote wanajadili kuhusu Mbowe badala ya kujibuMkuu ukiwauliza, vipi mbona hawaitekelezi ahadi yao, maana Serikali za vijiji wanazisubiri!! WANASEMAJE?
Endelea kwa kuwa Ubongo ulishapunguzwa kama huyuYaani Mbowe alipoanza kumtukana marehemu hadharani na kumkashifu akiwajumuisha na wasukuma wote nilikidharau sana chama chake.
Bora tuendelee na ccm walahi.
Mkuu kuna kitu nimekiangalia kwa jicho la tatu, kwamba kutokana na dunia kulalamika sana juu ya baadhi ya viongozi, hasa wa Africa kutaka Kuongoza /kutawala milele na baadhi yao kuwekewa zikwazo vya kiuchumi, sasa wamebadilisha namna/jinsi ya kutawala milele.Muda wote wanajadili kuhusu Mbowe badala ya kujibu
Ninaamini ccm inatawala under the expense of the ignorance of Tanzanian's,haya ni ya mpito ipo siku yaja ambayo ccm itafutika jumla.Katiba mpya ni muhimu kwa maslahi mapana ya taifa letu,sio Mali ya chama chochote cha siasa,kwani iliyopo ina matundu mengi ambayo ccm inanufaika nayo.Mkuu kuna kitu nimekiangalia kwa jicho la tatu, kwamba kutokana na dunia kulalamika sana juu ya baadhi ya viongozi, hasa wa Africa kutaka Kuongoza /kutawala milele na baadhi yao kuwekewa zikwazo vya kiuchumi, sasa wamebadilisha namna/jinsi ya kutawala milele. Mbinu KUU wanayotumia sasa hapa kwetu, ni kukubali kiongozi aongoze kwa muda ulioupanga ILA WANA HAKIKISHA KWA GHARAMA YEYOTE ILE CHAMA CHAO KINATAWALA/KINACHONGOZA NCHI MILELE. Hapo ndipo tulipofokia na ndipo tunapo kwama kwenye maendeleo maana Chama kinaona nchi ni yake na wananchi wapo kwa ajili yake.
Abubakar MboweMbowe yupi?
Una matatizo yako binafsi Tafuta pesa yataishaYaani Mbowe alipoanza kumtukana marehemu hadharani na kumkashifu akiwajumuisha na wasukuma wote nilikidharau sana chama chake.
Bora tuendelee na ccm walahi.