Wasalaam wakuu?
Natumaini wote hamjambo,wale wanaoumwa Mungu atawasaidia. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanza namshukuru mwenyezi Mungu mtaji wangu umeongezeka hadi kufikia hapo, juzi kati nilikuwa kuomba msaada wa mawazo nilikuwa na 10milion lakini sasa hivi imefika 20milion.
Sina biashara yoyote ila nafikiria kufungua duka la vifaa vya ujenzi naomba mwenye ujuzi na hii biashara anijuze faida na hasara zake, sina uzoefu wowote, nipo Mwanza.
NB: Kama unakuja na utani please usichangie chochote asanteni.