MkuuXyz
Senior Member
- Jun 18, 2025
- 161
- 269
Wadau, Nipeni USHAURI HAPA, Nina BIASHARA ambayo MTAJI WAKE ni 300,000 na Hii biashara inaingiza MAPATO ( faida ) ya 50,000 kila siku GUARANTEED
Swali ni kuwa je Niendelee na Biashara hii au NIANGALIE utaratibu wa biashara nyingine yenye MTAJI Mkubwa na FAIDA kubwa.
***** Swali linaulizwa Kwaniaba ya Muhusika.