Mtaji wa laki 4

Madoso12

Member
Jul 26, 2018
11
1
Habari ndugu wana JF naombeni mawazo yenu Nina laki 4 Nina hitaji kufanya biashara he nitafafanya biashara gan yenye kuhitaji kianzio cha kiasi hicho
 
Pole sana ndugu mini tatizo
Ndugu yangu we acha tu! Kuna documents nilikuwa nazo ni za kiserikali, kuna baadhi sikumbuki nilipoziweka nakaandaa tena kwenye kuziandika data zilezile hakuna hata kilichopikwa. Shughuli imekuwa kwenye kusainiwa, zimekataliwa bhana. Na documents zenyewe nyeti. Director naye hanielewi anaona nimeleta matatizo.
 
Umuhimu wako Leo wote unapotea. Wanakuona umeleta matatizo.
 
Pole sana bro
Naona lawama zinakuja nyingi, na mimi nimewapasulia ukweli tu nimeona liwalo na liwe na leo nitaondoka mapema sana. Nime waambia records zipo njooni mzikague kama nimepika data. Wananipa vitisho nimewaangalia kwa vile ni wakubwa nimewastahi tu. Kuna kikao wananiwekea Nikishakisikiliza tu nasepa.
 
Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom