Kwanza karibu jukwaani,
Nunua share kwenye makampuni,nina rafiki yangu yuko na share KENYA AIRWAYS kwa mwaka anapata faida kubwa sana.
Ukinunua shares kwa kutumia pesa za mkopo unarisk sana. Bei inabadilika sana probability ya kuapata ugonjwa wa moyo ni kubwa. Kumbuka mkopo utatakiwa kupeleka marejesho kila mwezi na shares profit inategemea na soko. Kumbuka tunatatizo la umeme so uchumi hauko sawa.
Mimi nakushauri kwanza kabla ya hujachukua huo mkopo, kwanza nenda National Insurance company omba bond ya huo mkopo wako. That collateral of yours itabakia na insurance company na sio benki. thus interest ya huo mkopo wako itakuwa ndogo bcoz the bank already have an assurance of getting back their money. Hapo ukikwama huwezi poteza mali yako bcoz insurance will be always there for you. SO make sure imepata insurance ya huo mkopo wako usikurupuke.
Kuhusu biahsra ya kufanya kama upo dar omba utawala wa ubungo ukupe ruhusa ya kujenja kibanda cha INFORMATION CENTER ndani ya Ubongo alafu chapisha bei nzuri za taxi maeneo yote ya Dar. kila mgeni (na wenyeji pia) antakae ingia Dar kutoka mikoani atafikia kwenye kibanda chako. Ingia mkataba na madereva taxi amabo niwaaminifu. mgeni atakulipa wewe then mpe resiti yako whereby hata ikitokea amesahau mzigo ndani ya taxi husika atakuwa na uwakika wa kuupata kutokana na contacts zilizopo kwenye resiti. You will be responsible kwavile taxi unazipangia kazi wewe, Utakua unabakiza copy ya resiti ikiwa na jina la mgeni na number ya taxi. you will be getting commission from the taxi kwa vile utakua unalipwa wewe alafu wewe ndio unamlipa dereva taxi. utakuwa unapata cha juu pekee. hutakiwa kumiliki taxi au bajaji ingia nao mkataba kutokana na bei utakazo zitangaza kwenye kibanda chako. Kibanda kinatakiwa kiwe na mvuto with all informations za hotels ndani ya Dar na time za ndege na boat za kwenda zanzibar na pemba bila kusahau kivuko cha kigamboni.

Ndugu wanajamii,kwa kifupi nategemea kupata mkopo toka Bank moja hapa
Dar essalaam kwa kuweka nyumba yangu kama collateral(security).
original business idea ilikuwa ni kufungua nursary ambayo baadaye inge turn into
secondary school.Lakini kwa mtazamo wa haraka,naona kama hii biashara yahitaji
mtaji mkubwa kuweza kuwa na shule ya kiwango cha juu-kusurvive competition.Na kwa upande mwingine shule binafsi zimekuwa nyingi sana na serikali inazidi kujenga shule za kata.Nikiangalia mbele naona giza kwa watu wenye mitaji midogo na hasa baada ya watu wenye uwezo kuanza kuwekeza kwenye mashule na huku maisha ya working class yakizidi kuwa magumu siku baada ya siku.
Ombi langu ni: wapi naweza ku invest hii pesa?
hiyo investment naomaba iwe ni yenye turnover kubwa ili niweze kulipa
mkopo ndani ya miaka miwili au tatu kuepuka riba kubwa ya Miaka 5.
Natanguliza shukrani,kwa msaada wowote wa kimawazo.
Davidson!!
akili ya biashara unayo...
Davidson,
Fikiria kufanya reseach kwenye business hizi tatu - Agribusiness, Technology, n Entertainment.
............
Entertainment
Amini usiamini, entertainment ni moja ya potential businesses hapa nchini. Of course, tatizo kubwa la shughuli hii ni kuna wababaishaji wengi sana ambao kwa makusudi wana take advantage ya uchanga wa aina hii ya biashara. Pia, tatizo jingine ni ukosefu wa mfumo unaoeleweka ambao utatoa mwongozo mathubuti. Lakini hata hivyo, hii sector inajitahidi kukuwa kwa haraka sana. Kwa hiyo, kuna mafanikio sana kama ukijua ni nini unafanya.
Senti zangu mbili...
Nami nimemkubali ckujua kama u can insure your credit with insurance cos. Asante sana mkuuDuh JF nimeikubali kuna watu wanaweza kufikiria! thanks mkuu for such a useful post.