Amosi luvanga
Member
- Sep 20, 2014
- 13
- 6
iliki inapatikana mkoa gani?Ngoja nikusaidie chap!
Nenda kahama kule machimbo kwa wale wachimbaji wadogo wadogo uwe unafanya kuwasupply na huduma za oxygen. Pia ukiona hio haifai...

funguka hapa mkuu.....dar sio mars au plutoUngekuwa dar ningekuelekeza biashara faida tungegawana na mchanganuo wake sio kwa kuandika ni kwa vitendo pakununulia mpaka pakuuza