Mtaji 1 billion

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,071
3,717
Naomba kuuliza ukiwa na one billion ni biashara gani ambayo itafaa kuanzisha na kuweza ku dominate southern sahara... Na kwa muda mfupi???
Mawazo yenu wakuu yanahitajika katika hili
 
kudominate East africa...???? hiyo si zaidi ya USD laki saba kwa sasa.
may be biashara ya drugs na mihadarati kama unataka kudominate haraka
 
kama unataka ku dominate east africa budget iwe how much??
 
Umetoa wapi hiyo bil 1 au dowans watu washalipwa? au unaanza mchakato mapema ili ukilipwa uje jinsi ya kufanya?
 
Huu bado ni mtaji mdogo kama unaongelea ku dominate southern sahara business labda kwa consultancy business kwa sababu yenyewe capital kubwa ni akili za watu uliowaajiri
 
huu bado ni mtaji mdogo kama unaongelea ku dominate southern sahara business labda kwa consultancy business kwa sababu yenyewe capital kubwa ni akili za watu uliowaajiri
thanks mkuu
 
FUNGUA BANKI YAKO NA UWEKE MA ATM YA MAANA KILA KONA siyo hizi uchwara za C*** na wengine kila siku ziko hoi zaitaji matengenezo. Utakusanya hela za wabongo wengi mwenyewe utashindwa kuhesabu. Ukimaliza nenda ukanunue migodi uekeze
 
Naomba kuuliza ukiwa na one billion ni biashara gani ambayo itafaa kuanzisha na kuweza ku dominate southern sahara... Na kwa muda mfupi???
Mawazo yenu wakuu yanahitajika katika hili

Mkuu tsh 1bl ni kiasi kidogo mno ni sawa na dola 588,000 tu. sasa hiyo itatosha ku dominate south sahara market, labda kwa biashara ya consultancy km alivyosema jamaa hapo juu. Lakini lakni kwa bidhaa za viwandani ni ngumu, hata ukisema uwekeze katika kilimo bado ni ngumu, katika mambo ya mawasiliano pia ni ngumu. labda jaribu kulenga soko la ndani ya inchi kwanza kabla ya kufukiria kuvuka mipaka.
 
Au unazungumzia USD one billion? kama ni Tsh basi hakuna biashara ya kudominate , wafanyabiashara wengi hapa Dar wanazo hizo na unapishana nao kwenye kahawa wala huwajui
 
Naomba kuuliza ukiwa na one billion ni biashara gani ambayo itafaa kuanzisha na kuweza ku dominate southern sahara... Na kwa muda mfupi???
Mawazo yenu wakuu yanahitajika katika hili
One billion dollars au TSH?
 
inabidi tusome zaidi kuongeza uelewa wetu wa mambo,tusome na kuangalia habari za biashara.billion 1 ni pesa ndogo mno ambayo huwezi kufikiria kufungua benk labda bureau de change,habu kwa hesabu za haraka tu lori kubwa lile refu ni million karibu 200,yakiwa matano tu haki kahela kameisha
 
Mkuu kwani hiyo B Moja uliipataje? Kwanini usitumia hiyo biashara iliyo kupa 1 Bilion kuongeza zingine?
 
Back
Top Bottom