Kheee... vipi kama post zake hazibadilishwi lakini akaamua kuweka jina lake halisi, utabadili maamuzi? To me, content ya post za mtu ndo hufanya nione nani ni role model wangu, na si jina lake......
machungwa
Jamaa huwa namkubali kinoma noma.
Jasiri,mpole,mcheshi,shupavu asiye na makuu,majigambo wala majivuno.
Hizo ni baadhi tu ya sifa zake na ndiye role model wangu.
Kheee... vipi kama post zake hazibadilishwi lakini akaamua kuweka jina lake halisi, utabadili maamuzi? To me, content ya post za mtu ndo hufanya nione nani ni role model wangu, na si jina lake......
Kuna mtu unamjua, au ndugu yako, au rafiki yako.. etc na siyo role model wako... kuwa nyuma ya keyboard siyo sababu.... U-role model hautokani na kumjua au kutokumjua mtu..!!! ni matendo na mambo aliyonayo mtu
Yaani hi hivi.. Sijapata Roli modo Jf humu mpaka niseme "Yeah I aspire to be like that au nijitahidi nimfikie yule.."
Hii ni kwa ajili wengi wanapretend humu ! na sina muda wa kukaaa na kumfuatlia mtu mmoja tu mpaka niseme " Wow that is an example to follow"...
Kwa kusema hivyo basi, Nikipata Roli Modeli hapo baadae nitamtaja in the mean time..
Hao watatu niliowataja hapo juu ndio nawaaminia.........