Linus nipo hapa,Naitwa linah namtafuta linusView attachment 1649708
Kwa kiswahili inasomwa linus hiyo nimeandika kwa kispanishWe unaitwa nafaka
We si nyambiti wewe..?Naitwa cassiana namtafuta cassian
ππππ Usinipe jina la mitishamba mieWe si nyambiti wewe..?
Ngoja mizimu ya kwenu ije ichachamae utalijua mpk la babu yako mang'oma..π€£ππππ Usinipe jina la mitishamba mie
π€£π€£π€£π€£π€£Ngoja mizimu ya kwenu ije ichachamae utalijua mpk la babu yako mang'oma..π€£