mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 619
Habari wandugu.
Itakumbukwa siku chache zilizopita nilikuja humu kuomba ushauri baada ya kutoswa na mwanamke ambaye tulishafikia sehemu nzuri katika mahusiano yetu.
Kwanza napenda kutumia nafasi hii kuwashukuru wana mmu wote walionipa ushauri hapa na wale walioni pm.
Nashukuru sana kwani kwapamoja ushauri wenu umenisaidia sana na sasa naweza kusonga mbele zaidi.
Sijakata tamaa ya kumtafuta wife materials ambaye bado naamini yupo mungu aliyemuandaa kwa ajili yangu.japo sijui yuko wapi. nahitaji mwanamke
Umri18-30
Dini muislam
Elimu yoyote
Mwenye hofu ya mungu
Kazi hata asipokua nayo simbaya nijukumu langu kumtaftia chakufanya ili tuweze kusaidiana kimaisha .
Mwenye upendo na jamii .
Sifa zangu
Umri 33
Dini muislam
Kazi mfanyabishara na ufund
NB: Nahitaji mwanamke aliye serious na anachokifanya sihtaji masihara na kupotezeana muda aliye tayari ani pm tutapeana maelezo zaidi huko.