Wasaalam ndugu zangu wa Jf mhali Gani wakuu, ni Mimi kijana, mtoto wenu natafuta kazi ya kufanya iwe yoyote Ile halali ellimu yangu stardard 7 nipo ujuzi wowote unatakiwa kama kuongea vizuri, na kazi yoyote Ile ya kufanya
Mfano usafi, kufyweka kupalilia majani kuangalia mji na ofisi makazini humo kazi yoyote Ile ya kuniagiza sehemu Moja kwenda nyingine nayo pia nafanya, Sina ujuzi ila ukinifunza nafanya naomba kazi ndugu zangu ni Mimi ni Mimi mdau mwenzenu @Thingizls 🙏 asanteni