Mh!!! hayaHuo ni uongo mtupu.
1. Laptop tatu
2. Bunduki 2
3. Passport 2
4. US$4,000
5. TZS 1,500,000
6. Mikufu ya dhahabu
7. Shoe shining yake London
8. Mfadhili NRA
Watu hamna shukrani.
Huu mvutano wa madiwani na mkurugenzi Mkuranga ulianza pindi ambapo mkurugenzi wa sasa alipopelekwa. Kwa wale wenye kufuatilia mambo ya serikali za mitaa watamtambua huyu mama kuwa ni mtendaji wenye rekodi ya kutokudumu katika halmashauri ukianzia na Moshi Vijijini na baadae Monduli kutokana na kutokuogopa wanasiasa mafisadi. Ana rekodi nzuri ya kuboresha mapato ya halmashauri ila pia ni ngangari kweli kweli. Halmashauri ya Mkuranga imebadilika sana katika miaka 3 iliyopita kutokana na dira ya huyu mama na usimamizi wake, ujenzi wa jengo la ofisi umeshakamilika huku yale ya kituo cha kitega uchumi, machinjio, soko na stendi yakiwa katika mchakato mzuri.
Mkuranga ni wilaya kichaa iliyojaa wanasiasa wenye kuweka mbele maslahi binafsi na utete wa hali hii unajulikana hata TAMISEMI.

Mtafaruku mkubwa unafukutu ndani ya CCM Mkuranga baada ya madiwani 18 wa halmashauri ya Mkuranga kumpinga mbunge wao pamoja na mkurungenzi wa halmashauri ndugu Sipora Liana na m/kiti wa halmashauri ndugu Magaila kutokana na ubadhirifu wanaofanya.
Taarifa zinadai kuwa viongozi hao watatu wanashirikiana kwa pamoja kufuja mali za umma kwa maslahi yao binafsi.
Duru za siasa wilayani Mkuranga zinadai kuwa wananchi wengi hawana imani na viongozi hawa na taarifa kuna wazee wapatao 500 wamejiandikisha na wanafanya utaratibu na moja chama cha cha upinzani ili waweze kuhamia huko.
Wananchi wengi hawaridhishwi na uongozi wa mbunge wao adamu malima kuwa hajafanya cha maana tangu achaguliwe zaidi kumwaga nguzo za umeme chini bila kufanyiwa kazi kwa muda mrefu sasa pia mbunge huyo inadaiwa ana dharau na visasi kwa wananchi kwa wale ambao hawakumpa kura.
Adam Malima inasemekana haelewani na swahiba wake mkubwa diwani wa kata ya mkamba ndugu HASANI DUNDA, Malima inadaiwa hataki kabisa kumuona diwani.
sina shaka na utendaji kazi wa yule ded ila ana tatizo la kukosa washauri wazuri, anasikiliza sana majungu, ana visasi dhidi ya watendaji wake na imefika hatua sasa madiwani wanajiorodhesha ili kumkataa. Sina data za kutosha kuhusu hali ya ccm ila walau najua kuwa malima na ded hawakubaliki kabisa na madiwani wakiongozwa na bw kubenea
Wampeleke mzee Ali Hassan mwinyi akasawazishe
Zoezi la wafu kuzikana naona linaenda vizuri. Asante mungu baba kuruhusu haya kutokea maana bila wewe magamba wangetumaliza

Huo ni uongo mtupu.