nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,927
- 1,342
nimewaza sana haya yanayoendelea , nimemfikiria Mkuu wa Nchi yetu mzaliwa wa Msoga, nimewatizama wasaidizi wake na wanamzunguka, nimewatazama watoto wake na mke wake.
Nimeshindwa kufikia hitimisho kwa haya yote yanayotukumba kama taifa mfano Udini, chuki za kisiasa, madawa ya kulevya na ukosefu wa utawala bora.
nayaona majanga yote yanayomkuta yanasababishwa na kukosa kitu kimoja alichokizoea sana.
TANGU KUFARIKI KWA SHEKHE YAHYA HUSSEIN mkazi wa Magomeni Mwembechai amekosa mshauri wa kutazama yajayo. PUMZIKA SHEKHE YAHYA ...we miss u so much.