Mtabiri wa jadi anaingia kazini

mmmhhhh huyu mdudu nasikia ukimuana live unapata bahati ni kweli hilo..
 
huyo ni ngakakuona mnajimu toka kwa mungu,wenye dini za kizungu watasema imani haba wakati wao wanaabudu sanamu,na majini,na mashetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…